Jordan imezindua mashindano yake ya 32 ya Qur'ani ya kimataifa, yanayojulikana kama Tuzo ya Qur'ani ya Kimataifa ya Jordan , kwa ushiriki wa wawakilishi kutoka nchi 51.