Hawza/ Rais wa China na mwenzake wa Urusi katika taarifa ya pamoja kuhusu hali ya Mashariki ya Kati, wamelaani mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.