Hawza/ Kutokana na kubadilika misikiti ya Texas kuwa vituo vya ushiriki wa kiraia wa wananchi, idadi ya Waislamu wanaojitolea kushiriki katika uchaguzi wa Marekani, kwa lengo la kufikia haki…