Wafanyakazi wa kitengo cha Akili mnemba cha Google, nchini Uingereza wamefanya maandamano kupinga ushirikiano wa kampuni hiyo na utawala wa Kizayuni.