Hawza/ Tabora, Tanzania — Katika mazingira yaliyojaa huzuni, majonzi na kumbukumbu ya tukio kubwa katika historia ya Uislamu, waumini wa mji wa Tabora nchini Tanzania wamefanya matembezi ya amani…