Hawzah/ Kufuatia kuongezeka kwa shughuli za watu wenye misimamo mikali nchini Sweden, ambao wanauwasilisha Uislamu kuwa ni kinyume na maadili ya kijamii, Waislamu wa Sweden wameanza kuielewesha…