Hawza/ Kiongozi wa chama cha upinzani cha Congress cha India, ambaye pia ni mjane wa Waziri Mkuu wa zamani Rajiv Gandi, amelaani mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran.