Hawza/ Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Sheikh Hassan Kabeke, amesema kuwa; Waislamu wenye asili ya Kishirazi kutoka Uajemi walikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo waliofika katika maeneo ya Tanganyika…