Hawza / Riwaya za Kiislamu hazijaihesabu shafa'a kwenye makundi matano: makafiri, washirikina, wanafiki, wakanushaji wa shafa'a, na wale wanaoibeza Swala. Imam Swadiq (a.s) kwa msisitizo alisema…