Hawza/ Sayyid Rashadat Ali al-Qadri katika mazungumzo yake alisisitiza kwamba umoja wa Umma wa Kiislamu una umuhimu wa juu na ni fursa yenye thamani kwa ajili ya kuimarisha mshikamano na udugu…