Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Hasan Mousavi, katika tamko lake, amemuelezea Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kuwa ni mfano wa kivitendo wa uimara wa kiroho, kimaadili…
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Hasan Mousavi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislamu ya Kishia Jammu na Kashmir, katika hotuba yake alikataa kwa dhati mpango wa dola mbili na kutaka kuundwa…