Hawza/ Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la maponduzi Alhaj Dkt. Mwinyi, amesema kuwa, kwa sasa Qur'ani imekuwa sehemu muhimu ya kuitambulisha Zanzibar katika sekta ya Kimataifa.