Hawza/ Tuzo ya Amani ya Nobel haitolewi tena kwa wale wanaosuluhisha baina ya mataifa au kuzima moto wa migogoro; sasa inatolewa kwa wale wanaopinga tawala ambazo hazilingani na misimamo ya serikali…