Hawaza: Filamu hii haielezi kabisa njama na hila za Mu'awiya dhidi ya utawala wa Imam Ali (a.s.). Vita vya Siffin, ambavyo ni miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya uislamu, vilimalizika…