Hawza/ Uongozi wa AhlulBayt Assembly of Kenya umeungana na waumini katika eneo la Kisauni, Kaunti ya Mombasa, kushiriki katika maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein (as), katika matembezi maalumu…