Hawza/ Mohamed Salah, nyota maarufu wa Liverpool na nahodha wa timu ya taifa ya Misri, ametoa radi amali ya kejeli kuhusu kuuawa kwa Suleiman Obeid, mchezaji soka mashuhuri wa Palestina, na ameitaka…