Hawza/ Mark Zandi, mwanauchumi mkuu wa taasisi ya Moody's Analytics, ameonya kwamba; iwapo juhudi za kidiplomasia na Iran hazitafanikiwa katika siku zijazo, kuongezeka kwa bei ya mafuta na nishati…