Hawza/ Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Sulaymaniyah Iraq amesema: Lengo la safari yangu lilikuwa kutoa shukrani kwa taifa la Iran na kupongeza ushindi mkubwa dhidi ya maadui; ushindi ambao ni fahari…