Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Qum amesema: Kwa kuzingatia historia ya Marekani, tunajua kwamba haitekelezi ahadi zake, lakini kwa kuheshimu maelekezo ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi, tumedumisha…
Hawza/ Mchambuzi wa Kizayuni katika makala iliyochapishwa na gazeti la Yedioth Ahronoth amesema kuwa; makubaliano yaliyofikiwa kati ya Marekani na Iran kwa ajili ya kusitisha vita yanaashiria…