Hawza/ Maandamano makubwa yakiwa na kaulimbiu isemayo “Hapana kwa Ufalme!” yamefanyika katika miji mikubwa kadhaa ya Marekani, ambapo wananchi wameonyesha hasira na upinzani wao dhidi ya sera…