Hawza/ Bw. Sufiani, msimamizi wa sehemu ya kuoshea maiti ya Lodge Lane mjini Liverpool amesema: "Mji huu una Waislamu wapatao 40,000, na chumba kimoja kidogo cha kuoshea maiti hakiwezi kabisa…