Hawza/ Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Sulaymaniyah Iraq amesema: Lengo la safari yangu lilikuwa kutoa shukrani kwa taifa la Iran na kupongeza ushindi mkubwa dhidi ya maadui; ushindi ambao ni fahari…
Hawza/ Mwakilishi wa Walii Faqihi katika Mkoa wa Kurdistan, huku akirejelea hali ya eneo pamoja na vikwazo vya miongo kadhaa iliyopita, alisisitiza kwamba: Taifa la Iran licha ya mashinikizo…