Hawza/ Jaji Hatem al-Na’san ametangaza kuwa watu waliokuwa wakionekana katika video kwenye mitandao ya kijamii wakikeuka sheria wametiwa mbaroni.