Hawza/ Maelfu ya waandamanaji waliandamana katika mitaa ya mji mkuu wa Italia, Roma, kupinga vita vya Ghaza, Maandamano haya yaliandaliwa na vyama vikuu vya upinzani nchini Italia ambavyo vimeishutumu…