Hawzah/ Hujaatul-Islam Sayyid Ali Fadhlullah, kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.), amewasilisha pongezi na salamu zake za heri, hususan kwa Waislamu.