Hawza/ Hujjatul-Islam Shamsi-Far amesema: “Kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini Iraq ni matunda ya damu ya mashahidi kama Abu Mahdi Al-Muhandis na Shahidi Haji Qasim Sulaimani.”