Hawza/ Hujjatul Islam wal-Muslimin Hussein Kouhsari, akisisitiza kwamba; hawza ndio mstari wa mbele wa medani ya mapambano dhidi ya mfumo wa ubeberu, alisema: Dunia imeingia katika mfumo mpya…
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Husseini Kouhsari amesema kuwa; kufanyiwa kazi diplomasia ya kielimu kunahitaji kutambua umuhimu na ulazima wake, pamoja na kujenga mijadala na utamaduni katika…