Hawza/ Hassan Fadlullah amesisitiza kuwa; nguvu ya muqawama nchini Lebanon hutokana na nguvu ya watu wetu. Sote tulisikia sauti ya kitaifa na ya muqawama iliyopazwa na wananchi wa Kusini.