Hawza/ “Fatima al-Fihri” ni mwanamke ambaye kwa kutumia urithi wa baba yake alianzisha chuo kikuu cha kwanza duniani nchini Morocco; chuo ambacho kimekuwa kitovu cha kulea wanazuoni mashuhuri…