Hawza/ Kundi la wafuasi wa michezo nchini Ireland limetuma barua ya wazi kwa Shirikisho la Soka la Ireland (FAI) na kuutuhumu utawala wa Israel kwa kufanya “mauaji ya kimbari” wakati wa vita…
Hawza/ Zampoli, mjumbe wa Marekani nchini Italia: Niliomba kutoka FIFA na Trump waibadilishe timu ya “Azzurri” ichukue nafasi ya Iran katika Kombe la Dunia.
Hawza/ Mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya timu ya taifa ya irani na tanzania umechezwa leo katika uwanja wa Rashid Stadium uliopo Mjini Dubai, falme za kiarabu (UAE), ambapo wenyeji Irani…
Hawza/ waandamanaji siku ya Ijumaa waliingia kwenye mazoezi ya timu ya taifa ya kandanda ya Italia, na baada ya kukaribia lango na uwanja, walitangaza kuwa wanataka mchezo wa timu yao dhidi ya…
Hawza/ Muungano wa zaidi ya wanamichezo mashuhuri 50, akiwemo kiungo wa Crystal Palace, Cheick Doucouré, na mchezaji wa zamani wa Chelsea, Hakim Ziyech, wamesaini waraka uliyoitaka UEFA kuisimamisha…
Hawza / Wajumbe wengi wa kamati ya UEFA, kufuatia shinikizo kutoka kwa mashabiki na wachezaji katika kulaani mauaji ya halaiki Ghaza, wamepiga kura ya kuunga mkono kusimamishwa kwa timu za utawala…