Hawza/ Katika siku za maombolezo ya mwezi wa Muharram, zinazokumbusha tukio la kusikitisha la kuuawa kwa njia ya dhuluma Imam Hussein (as) na wafuasi wake katika ardhi ya Karbala, wanawake waumini…
Hawza/ Kikao cha kielimu maalumu kwa wanawake, chenye lengo la kueneza usafi wa maadili na maisha mema (hayat ṭayyiba), kilifanyika katika mji wa Yangon (Rangoon) nchini Myanmar; kikao ambacho…