Sheikh Saleh Malbi, mhadhiri wa chuo kikuu nchini Tanzania, akirejea uzoefu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ameieleza nchi hiyo kuwa ni mfano wa jamii ambayo imeweza kupiga hatua katika njia…