Hawza/ Wanafunzi na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Chile wamefanya hatua ya kisanii na ya upinzani katika Kitivo cha Falsafa na Sayansi ya Binadamu wakipinga uhalifu wa utawala wa Kizayuni na ukimya…