Hawza/ Mpango wa kubadilisha jengo la zamani kuwa msikiti na kituo cha kitamaduni cha Kiislamu katika kijiji cha “Siebnen” kilichopo katika kantoni ya Schwyz nchini Uswisi, umesitishwa kwa muda…