Hawzah/ Chama cha Ustawi wa Taifa Afghanistan, kimekemea vikali kuvamiwa Hawzah ya Khatam al-Nabiyyin (saww) mjini Kabul na kundi la Taliban, huku kikitaja hatua hiyo kuwa ni dharau kwa wananchi…