Hawza/ Cevdet Yılmaz Makamu wa Rais wa Uturuki, amesema kuwa; ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kusimama kwa msimamo thabiti dhidi ya jinai zinazofanywa na Israel nchini Palestina.