Hawza/ Waumini wa Kiislamu nchini Burundi wameungana katika anga ya furaha, upendo na shangwe kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (s.a.w.w.), katika hafla maalumu iliyofanyika jana…