Kikao cha Kitaifa cha Palestina kimefanyika kwa ushiriki wa maulamaa mashuhuri na viongozi wa kidini katika Kituo cha Kitamaduni cha Urafiki kati ya Pakistan na China mjini Islamabad.