Hawza/ Ripoti zilizopokewa katika vyanzo vya Kishia na Ahlus-Sunna zinasimulia kuhusu ukimya wa ajabu uliotawala katika kikao cha watu wa Kufa kabla ya Bibi Zainab (s.a) kutoa hotuba yake. Zipo…
Khatibu wa Haram Takatifu ya Bibi wa Karama, huku akieleza kuwa mwenendo wa Bibi Zainab (s.a) unaonesha kwamba kuvuka nyakati za matatizo hakutegemei subira na imani pekee, bali pia kunahitaji…