Hawza/ Supastaa wa Hispania, Lamine Yamal, katika sherehe za Barcelona kwa mnasaba wa kutwaa ubingwa wa La Liga, alionesha mshikamano wake na wananchi wa Palestina wanaoteseka kwa kuinua bendera…