Hawza/ Mufti wa Uganda, Sheikh Shaban Ramadhan Mubaje, ameunda kamati ya wajumbe saba inayowakilishwa na wanazuoni wa Kiislamu na wataalamu wa lugha, yenye jukumu la kutarjumu Qur’ani Tukufu…