Hawza/ Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain ameelezea kwamba kufanya uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni ni kujisalimisha kwenye mradi wa “Israili Kubwa”.