Hawza/ Mwalimu wa ngazi za juu wa Hawza kutokana na mnasaba wa siku ya arobaini tangia shahada ya Kiongozi wa Waislamu wa dunia, Mtukufu Ayatullah Sayyid Ali Husseini Khamenei (ra), ametoa ujumbe.