Hawza/ Ayatollah Haairi Shirazi (rahimahu Allah) kwa kutumia mfano wa msafiri, anatukumbusha kuwa kuyaangalia yaliyopita na kujivunia matendo ambayo umesha yafanya ni alama ya kuwa mbali na lengo…