Hawza/ Ayatollah Bahjat amenukuu kutoka kwa Ayatollah Sayyid Abdulhadi Shirazi kwamba baada ya kufariki baba na mlezi wa familia, jukumu la maisha lilimwangukia yeye. Katika ndoto alimwona baba…
Hawza/ Ayatollah Bahjat (ra), katika kitabu chake "Dar Mahzari-ye Bahjat", akinukuu kauli ya wengi waliopata tajiriba hii, akieleza kuwa mtu akinuia kuswali Swala ya usiku (Swalat al-Layl), hufanyiwa…