Hawza/ Wanaharakati wa masuala ya kibinadamu siku ya Jumanne walifanya mkusanyiko wa maandamano katika jengo la Bunge la Australia kupinga namna ambayo utawala bandia wa Israel ulivyowatendea…
Hawza/ Daktari na mwanaharakati wa kisiasa nchini Australia, amesema kuwa; “Trump amefanya jambo ambalo hakuna kampeni yoyote ya utalii ingeweza kulifanya kuhusiana na Iran.