Hawza/ Jumuiya ya Walimu wa hawza ya Qum imelaani msimamo wa Al-Azhar ya Misri katika kuilinda kwa nguvu zote Marekani na watawala walio manaibu wa Shetani Mkubwa, huku ikisisitiza kuwa; majibu…