Hawza/ Al-Azhar ya Misri imelitaja kundi la watu waliokwenda hivi karibuni Israel na kujieleza kuwa “Maimamu wa jamaa katika misikiti ya Ulaya” kuwa ni “kundi lililopotoka,” na kuilaani vikali…
Hawza/ Ahmad Al-Tayyib, Sheikh wa Al-Azhar, kwa mara ya kwanza amechapisha ujumbe kwenye mtandao wa X (Twitter) kwa lugha ya Kifarsi, akilaani mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na utawala…