Hawza/ Hafla tukufu ya “Kuwakumbuka Mashahidi wa Muqawama” ilifanyika kwa juhudi za Ubalozi Mdogo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Karachi, Pakistan, huku ikihudhuriwa na kundi la wanazuoni…