Hawza/ Abdul-Sayed ameshinda katika kinyang’anyiro cha uchaguzi wa nafasi ya useneta katika jimbo la Michigan, na hivyo kuchaguliwa kuwa seneta wa kwanza Muislamu nchini Marekani. Amemshinda…